| Basi la abiria la Kampuni ya MK likiwa kando ya barabara ya Morogoro, baada ya dereva kuacha njia na kuliingiza porini wakati akipisha msafara wa Rais Jakaya Kikwete, ulioibuka ghafra, ukielekea Charinze, mkoani Pwani juzi. baadhi ya abiria walipatwa na mshituko. |
Vyanzo vya ajali Tanzania ni vingi mno kama hiki ambacho kingeweza kuzuilika kabisa.
ReplyDeleteHuyo dereva wa hilo basi inaelekea hajiamini katika kazi yake, jinsi inavyoelekea madereva wa namna hii wanatakiwa waelimishe nini cha kufanya kama wanakutana na msafala wa viongozi kama huu, msafala kama huo unapokutana nao kwanza huwa anatangulia trafiki mmoja mbele alafu zinafuata gari nyuma sasa inakuwaje dereva huyo anapata mshituko wa gafla na kutaka kuwa mwaga abiria.je yule trafiki aliye tangulia ajamuona?jamani madeva tunaomba umakini bila hivi mta tumaliza.
ReplyDelete