| Mtuhumiwa wa wizi Bw. Saidi Dadi (18) mkazi wa Yombo kilakala, Manispaa ya Temeke aliyekamatwa akituhumiwa kuvamia Duka la dawa la Enol lililoko Mbande, Magengeni Dar es salaam na kuiba sh. 60,000 na kukimbia nzao, akiwa chini ya ulinzi wa polisi jana. (Picha na Mudhihir Mudhihir) |
sasa mi sijafahamu!! huyo chori anafanya nini ndani ya dimbwi la maji ya mvua? halafu sijui anaona haya, maana kainama
ReplyDeleteimebidi apate msaada wa dimbwi la maji ili kujisitiri maana inaelekea hana hata kipande cha nguo!
ReplyDeleteHuyu ni mtoto mdogo sana ila anaishi kwenye mazingira magumu ya maisha. Mchukulieni kama alikuwa ana njaa na hvyo hakauwa na namna ya kula kwa siku hiyo jamani. Tuweni na huruma pindi watoto walio chini ya umri wa miaka 26 na kushuka chini wanapo kuwa wame potoka kwa sababu ya shida za dunia. Mhurumieni na msaidieni. Ni mtoto wa kuwa Form four kama wazazi wangekuwa na uwezo au hana wazazi kabisa anaishi kwa taabu. Muulizeni kwa upole kwanza, He needs counselling.
ReplyDelete