01 November 2011

...........................................

Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bi. Mwanvita Makamba akiongea Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mwongozo Sara Uhuru wa Darasa la Kwanza wakati akikabidhi madawati 225, kwa ajili ya Shule tano za Ilala na Kinondoni, Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment