05 September 2011

.......................................................

Msimamizi Msaidizi wa mitambo ya kufua umeme ya Symbion, Mhandisi, Moses Mwandenga akitoa maelezo Dar es Salaam jana kwa Waziri wa Nishati na Madini , Bw. William Ngeleja(Kulia),kuhusu maendeleo ya uzalishaji wa nishati hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi, William Mhando.

No comments:

Post a Comment