WALIMUwanaoka akwenye nyumba zi
lizokuwazi kikaliwanawafan ya kazi waK ichinawaKa mpuniyaSinohydr owalioku wa
wakijenga barabar ayaTanga- Horohoro, wamesemaha wat aondokang’ok wen yenyumba
hizo hata kwa mtut uwabun duki
.Wali muhaowa
nao fundishakatikaSek ond ariyaKiomoni iliyop okat ikakat a yaMzi zimakatikaJi
ji laTan ga,walis emakuwa hatuayaMk uu wawila yakutakakubad ili shamaam uziya
awali kwambamajengohayo baada yawakanda rasi kuond oka,y atatumika kama
makaziya wa limuna jengo mojala maaba rayashule .
Mm ojawaw
alimuhaoa mbaye kamawen zak ehawak utak akutajama jinaya o, alisemakuwamk
atabawaawa liunaonesha kwam bashule hiyoya sek ondar iilita ki wakutoasehe
muyaeneol akelash ule ili mka ndarasihuyoajeng em akazi kwawafany akazi waken
akishawakimal izamkata bawaujenzi wa barabarama jengohay o y atatumiwakw
amakazi ya walimu na maabara yash ule.
“Sasamku
uwawilaya (H alimaDendego ) nak ama ti yakeyaulinzi wamefi kawanatak akututoa
kwa nguvueti anatakam ajengohayawayafan ye zahanat i, wat afuteeneolinginewajengehiyozaha
nati ambao ni wajibu wao na sisi hapa hatutoki ng’o hata wakija na bunduki,
wameshindwa kutujengea nyumba sasa hizi zimejengwa na mkandarasi tena kwenye
eneo letu, wanataka kutunyang'anya hii haikubaliki,” alisema mwalimu mwingine.
Mgogoro huo
umezuka kiasi kwamba tayari umeanza kuleta msuguano baina ya Mkuu huyo wa
wilaya na Ofisa Elimu Sekondari, Kasimu Sengasu ambaye kutokana na Mkuu huyo wa
wilaya kumtupia lawama kwamba ndiye aliyetoa uamuzi wa walimu kuhamia kwenye
majengo hayo amehamishiwa mkoani Rukwa.
Mkuu wa wilaya
alipanga majengo hayo yawe zahanati itakayohudumia wananchi wa eneo hilo pamoja
na shule na alitaka kutumia ziara ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu
anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Agrey Mwanri
kuzindua zahanati hiyo.
Hata hivyo, hadi sasa walimu hao bado wapo kwenye
nyumba hiyo ambapo walisema kwamba walimu wa shule hiyo waliopo 30 ni 15 tu
ndiyo wanaoishi kwenye majengo hayo na wengine wamepangisha katika maeneo mengine
mbalimbali Jijini Tanga hatua ambayo wanatakiwa pia kujengewa na Serikali
No comments:
Post a Comment