. Na Grace Ndossa
WAZIRIwa
Uchukuzi Dkt. Harris onMwakyembeamesemawa tumishi watakaoshin
dwakutekelezaMpangowaSerika liwa kupata Matokeo Ma kubwak waHaraka(BRN),ajian
daekufuk uzwak azi kwani ha kunamtu mishiambay eanaajirayakudumu ambayo haiwezi
kugu swa
.Dkt.Mwakyem be
a liong ezaajiraza watu mishi haosiyojiwekwa mba haliw ezikutokail awa
takwendana watuwan aokidh ik asiinayotakiw akatikaSerika li.Kau li
hiyoaliitoa Dar es Salaam jan a, alipo kuw aaki fun guaseminayawadauwase
ktayausa firishaji kwa watumishi wa wizara hiyo.Alisema,m pango
huo waSerik ali unaangali amatokeoha lisinasi ubabai shajina k wambak
ilamtumishiatapi mwakutokan ana kile anachokifanya.
Alisema,
watumis hi wa sekta ya Uchu kuziwa natakiw a k ufanyak azi kwakufua
tauhitajiwaserikal iwakutekelez am pango waMatokeoMakubwan aambayeanao na
hawezi ajion do emwenyewe na akatafute kaziyak ufanya.Dkt.Mwakyembe
alisemampango huo unalengakuifungua KandayaK atikatikasualala uchuku zi n awan
atarajia kufuf uareli ilikuon dokananaus afirish aji wami zigomizito kw
anjiayabarabara, ambazo ni hatari kwa barabara.
"Mtumishi
atakayeshindwa kutekeleza mpango wa Serikali wa kupata matokeo makubwa kwa
haraka (BRN), ajiandae kufukuzwa kazi kwani hakuna mtumishi ambaye ana ajira ya
kudumu ambayo haiwezi kuguswa, ajira zenu siyo jiwe kwamba haliwezi kutoka,
tutakwenda na watu wanaokidhi kasi tuitakayo.
"Hatuwezi kuendelea na aibu hii ya
kusafirisha tani 200,000 tu kwa mwaka, lengo letu ni kuhakikisha tunafikisha
tani milioni tatu kwa mwaka ili pamoja na mambo mengine tuokoe barabara zetu,”
alisema Dkt. Mwakyembe.
Naye Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
Rais ya kufuatilia Matokeo ya Mpango wa BRN, Omary Issa alisema tayari
wamekwishaanza ufuatiliaji ambapo kila Jumatatu ya kila wiki wizara zilizopo
kwenye mpango huo zinalazimika kutoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu yao.
Kwa upande wa Rwanda kujitoa kutumia
Bandari ya Dar es Salaam alisema, Tanzania haiwezi kuyumbishwa na hatua ya nchi
hiyo kuacha kupitisha mizigo yake katika Bandari ya Dar es Salaam, badala yake
inajikita zaidi kuimarisha sekta ya uchukuzi.
Alisema, ni mwendawazimu pekee ambaye anaweza kupitisha mizigo Bandari
ya Mombasa kwenda Kigali, Rwanda kutokana na umbali mrefu uliopo kwani kutoka
Dar es Salaam kwenda Rwanda ni karibu zaidi.
No comments:
Post a Comment