Anneth
Kagenda na Grace Ndossa
KAMATI ya Hesab uzaSerik ali
(PAC), ime ibanaW iz arayaFe dhan aku itak aitoe maelezoyakin aj uuyad enila
fedha sh.bilio ni 249l aKampu niyaImp ortSuppor ta mbazoha di leohazij
akusanywab aadayakam punimbalimbal ikupe wa miko potangu mwaka 1987 hadi2004.Hadis asa,de nihi lohalijalipw
aamba pomaj inaya kampunizilizochukuamikopo hiyo, yak ionekana ni h ewa.
Kamatihiyoi ligeu kam bogoDar es
Sa laam janana kudai kuw a, fedhazote zilizotolewa naKampu niinayoitwaJapanese
Commod ityI mpo rt Support,s h. bilioni391 ,katiyahiz osh.bilion i14
2zimelipwanash . bi lioni24 9ha zijalipwa.Mwenyek itiwakam atihiyo, Bw.
ZittoKa bw e,alis emafed hazilit olewakwaajili yams aadakwa S erika li yaTanz
ania lakini ni mu damrefudenihilohalijalipwana kudai kuw a ina wezekan
akunamradi waEPAambaou naen delealakini haujuli kani.
“Naonasua l a h i l i sasalimetus
hinda hivyo tuna lipelekakwaKatibuwaBungeawezekul itoleamaa muzi...h aiwezek
anifedha nyingi zaWatanzan iazinapoteana sisitun aendeleaku nyamaza, kila m
waka deni hili halipungui kunanini?“Kamp uni900ndizozilizokopafedh a
hizi ambazo zilik uw azimet olewakwaajiliyaku saidianchi y etu...
KampuniyaUkusa nyaji madeni ya Ms olopa,ndiyoiliyokuwa ikifany akaziyakukusanyamadenina
kuba ini baadhi ya kampuni hewa,” alisema.
A liongeza kuwa,
baadhiyakampunihizo wamiliki wakeinadaiwawa lifilisika, kufa, hawajalip
a,wenginewanaend eleakulipajambo ambalolina mkanga nyikomkubwa.Alisema pamoja na kuwepo kampuni
hewa, waliosababisha upotevu wa fedha hizo lazima kuchukuliwa hatua za kisheria
kwani kufanya hivyo ni ufisadi na wizi kwani waliongopa kwa kuweka majina feki.
“Kuna suala lingine ambalo kamati
hatujalielewa...tunataka Hazina itueleze sh. bilioni 13 ilizotumia kwenye Mkutano
wa African Development Bank (ADB) huko Mjini Arusha ambazo ziko nje ya bajeti
zilitoka wapi wakati mlikuwa hamna bajeti ya kufanya shughuli hiyo,” alisema.
Bw. Zitto alisema suala hilo
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), anapaswa kufanya ukaguzi
wa hesabu ili kujua kama zilitumika kwa shughuli hiyo.
Aliongeza kuwa, pia kuna suala la
viti, meza, sofa na vitu vingine vilivyoachwa katika Ukumbi wa Mkutano wa AICC
ambavyo kama vingerudi vingepelekwa kwenye ofisi ya Bunge iliyopo Mjini Dodoma.
Pia alihoji kompyuta ndogo
(Laptop) 220, printa 120, televisheni 40 za inchi 60, zilinunuliwa kwa kazi
gani na kwamba zilikuwa na umuhimu gani katika mkutano huo.
“Huu ndio utaratibu wa Serikali
katika kuendesha mikutano, mwingine ukitokea eneo lingine mtanunua vifaa vya
namna hiyo?” alisema Bw. Zitto.
Akijibu baadhi ya hoja
zilizotolewa ndani ya Kamati hiyo, Kamishna wa Fedha za Nje, Bw. Samweli Maro,
alisema zipo kampuni zilizopeleka fedha hizo kwa Kampuni ya Msolopa na nyingine
zimekaidi na kudai hazikupewa fedha hizo hivyo vi vyema uchunguzi ukafanyika.
Naye Kaimu Katibu Mkuu Wizara hiyo, Bi. Elizabeth Nyambibo, ambaye
alionekana kuelemewa na maswali, alisema ushauri na maagizo yaliyotolewa na
kamati yatashughulikiwa
Kamati imefanya kazia nzuri.
ReplyDeleteNina maoni juu ya fedha zinazolipwa nchi za nje wakati huduma zikifanyika nchini .Mfano mtu ana logde huku Tanzania lakini malipo yanafanyika Afrika kusini au ulaya hata india ,mnapata vipi kodi zenu na hiyo lodge inatufaidishaje?
Kwa sababu hata booking inafanyikia huko huko hivyo hakuna nafasi za kazi zinazopatikana za kutosha wala kodi kamili ya kutosha