LONDON, Uingereza
BAADA ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya
Swansea Jumamosi, wachezaji wa Manchester United juzi usiku walikusanyika
kupata chakula cha pamoja kusherehekea ushindi huo.Vijana hao wa
kocha, David Moyes hawakuwa peke yao
katika hafla hiyo, kwani waliambatana na wake zao na marafiki zao wa kike, ili
watu wote waweze kuwaona
.Huku kukiwepo
na tetesi za kuondoka katika klabu hiyo, mshambuliaji Wayne Rooney alijitokeza
akiwa na mkewe Coleen, huku akikataa kuzungumzia mustakabali wake na Manchester
United.Rooney aliungana na Moyes, pamoja na
wachezaji wenzake wakiwemo Rio Ferdinand, Nemanja Vidic, Danny Welbeck,
Wilfried Zaha na Tom Cleverley katika mtaa wa Deansgate katikati ya jiji la
Manchester.
Huku nyota wengine wa Ligi Kuu England wakiungana
na wenzao wa United, beki wa katiFerdin andalisimami shwana mashabiki njiani na
kupiga nao picha.Moyesalionekanaakiwamchanga mfu, ingawa
klabu yakey azama niyaEve rton ikiwahaina fu rahaku tokananaMoyes kuwafukuzia,
Marouane Fellaini na Leighton Baines
No comments:
Post a Comment