23 August 2013

HATUTAKI USHOGA KATIBA MPYA



 Na Yusuph Mussa, Kilindi

BAADHIy awanan chiw ilayani Kilindi M koawa Tangawametakamasuala ya ushoga yasiingizw e kwenyeKatibaMpyaij ayonakut aha dharish akuw ahaki z abina da munilazimazi wena mipak anakikom o.

Piaw ali semaWatanzania wana tamad uni,milanade sturizaohivyohawa paswi kui gakila ja mbo linalofanywana waliowatangulia kimaendeleo

Hayowal iyase majuz ikwenyemkutano wasikutatu waw ajumbe waBarazalaMaba dilik o yaKat iba wa Halma s hauriyaWila yayaKi lindimkoa ni Tang a, k ujadili nakubo reshaRasimuyaKatibauliofa nyikaUkumbi wa KKKT mjiniSonge.

“Hak izabina damu ziwena mipakana uko mo.Tusijetu karuh usumpaka m ashog aw akapewanafasi kwenyekatiban akufanya m amboyao ki sheria, kwani tabiahizosiozakwetuWatanzania, bali zakuig a amba zohazi tujengei ma adilimema,”ali semaMjumbeanayewakil isha vijana kutoka Kata ya Msanja.

N ayemjumb emwingi neambayepiani D iwaniw a Kataya Songe, IdrisaMgazaalit aka Mwe ngewaUhuru uingiz wekwenyeKat iba, kwani niki ashiria chakuones hautaifahuk uukichochea miradiya maend ele o,kuhamasis ha amani, umojanams hikamano.

Mgazaalipingamaele zoyaliyotolew a na Mwe nyekitiwa Bar azahi loa mbayepian im jumbewaTum eya Mabadi liko ya Katiba, JosephButik ukuwa m weng ehuo umepo tezah eshimakwaw atukufanyav ite ndovya ngo nokilaunapolal anakuse mah iyohai wezi kuwasababuyakuufa nya usiendelee kukim bizwa nc hini.

“Unapo semaM wengeha ufai kuwekwakweny eKatiba k wavilewatuwa nafanyav itend ovy angonokwen yemkesha ,hiyos ios ababu, mbonak unawatualamayaTaifaambayo ni be ndera wamet eng eneza vitam baavyaku futiamakamasi ... nayotuio ndoe ,”alisem a Mgaza.

NayeS alehHass analisem a,vazi la Taifa liing izwekw enyeka tibaili viongozi wanapokwenda nje ya nchi wabainike ni Watanzania, badala ya kuvaa suti na kuongeza ni lazima tujali asili yetu na kuachana na umagharibi.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Butiku alisema ni kweli hawakuingiza mwenge kwenye katiba baada ya kuchukua maoni ya watu na namna unavyozungumziwa, kwani baadhi ya wananchi wanataka uwekwe kwenye makumbusho.

“Nilichosema ni kweli kuwa, mwenge umepoteza sura ya kile kilichokusudiwa na Mwalimu Nyerere cha kuwaweka pamoja Watanzania na kuonesha uzalendo, lakini sasa mwenge umekuwa ukichochea ngono na vitendo vingine vya kihuni na utakuta kondomu zimejaa kwenye mikesha ya mwenge.

“Lakini pia hatukuingiza mwenge kwenye katiba baada ya kuwasikiliza watu wengi ambao wameonesha hawaukubali, hivyo kutaka uwekwe kwenye makumbusho badala ya kukimbizwa kila mwaka,” alisema Butiku

1 comment:

  1. Naomba kutoa maoni yangu kuhusu uandishi wa habari.

    Ingekuwa vizuri habari kabla haijapelekwa hewani iwe imehakikiwa na wahariri waliobobea

    Msissahau habari hizi zinasomwa na watu wa mataifa mbalimbali kwenye mitandao kama hapa Marekani, Ulaya, nk

    Habari kama haikuandikwa vizuri hata ukitaka kuitafsiri huwezi kupata maana sahihi.

    Tujivunie lugha yetu ya Kiswahili na kukiandika vizuri ili mataifa mengine yaone hamu ya kujifunza kiswahili

    ReplyDelete