31 July 2013

MAGARI YA UDA

Maneja Biashara wa Kampuni ya TATA African Holdings (Tanzania) Ltd, Bw. Divyesh Ramanandi (wa pili kulia) akikabidhi mfano wa funguo ya gari wakati wa hafla fupi iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni. Jumla ya mabasi 30 aina ya LP 909 yalikabidhiwa kwa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA). Anayepokea funguo (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Hamidy.

No comments:

Post a Comment