Msanii wa
kizazi kipya nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ (katikati) akitoka nje ya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar
es Salaam jana baada ya kesi yake kuahirishwa hadi
Agosti 2 mwaka huu. Kushoto ni msanii mwenzake Joseph Haule ‘Professa Jay’ na
mume wake Gadna G. Habashi (kulia).
No comments:
Post a Comment