Wananchi wa eneo la Afrikana salasala wakishirikiana katika kuutafutia njia mto salasala kutokana na ujenzi wa uzio uliofanywa na kampuni ya mwekezaji ya spring city manufacturing ltd ambao umesababisha kuziba kwa makaravati matuta yaliyokuwepo, pia uharibifu mkubwa wa mazingira na miundo mbinu umefanywa na kampuni hiyo katika eneo hilo ambalo ni hifadhi za mto salasala ambayo pia ni laini kubwa ya Bomba la Ruvu chini linalimolikiwa na Dawasco (Picha na Gladness Theonest).
No comments:
Post a Comment