Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, kuhusu mapendekezo ya chama hicho katika Katiba Mpya kuwapo kwa Serikali Tatu badala ya mbili za sasa. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Bunge, Bw. Shaweji Mketto. (Picha na Peter Mwenda)
SIONI SABABU YA KUITISHA WAANDISHI WA HABARI NA KUWAELEZA MAONI YA CHAMA CHENU NANI KWAAMBIA WATANZANIA WOTE NI CUF KWA TAARIFA YENYE WAPO WATU WANACHAMA WA CHAMA CHO CHOTE WAMEPELEKA MAONI YAO KWENYE TUME WALIITISHA VYA HABARI TUSUBIRI WAKATI WA KURA YA MAONI AMBAYO NI BADO
ReplyDelete