Rehema Pazzi mkazi wa Iringa akifurahia mara baada ya kuwa mshindi wa awali wa Castle lager super fan wa shindano la kumtafuta mwakilishi wa Tanzania katika kuunda timu ya ushangiliaji ya Afrika United itakayokuwa nchini Afrika Kusini chini ya Bia ya Castle Lager.
No comments:
Post a Comment