29 June 2012

CHADEMA

Mjumbe wa Kamati Kuu  ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw Godbless Lema, akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Mchikichini Manispaa ya Ilala Dar es Salaam juzi, wakati wa Kampeni ya Ondoa CCM Dar es Salaam, ambapo pia chama hicho kilitoa tamko la kufanya maandamano ya kuunga mkono mgomo wa madaktari nchi nzima. (Picha na Sittu Athumani)

1 comment:

  1. MNALIONA HILO JEMBE? LA CHADEMA?,ETI MMEMTOA UBUNGE MMKOMESHE SASA ANAKOMESHA CCM.CHADEMA WOYEEEE..FANYA VITU VYAKO MWANAWANE.MWAKA 2015 CCM CHAAAAALIIIII.HALAFU NASI TUWAFANYIZIE WANAOJIITA INTELENJENSIA WA IGP.

    ReplyDelete