Kiungo wa timu ya Athletic Bilbao, Ander Herrera (kulia) akiwania mpira na kiungo wa timu ya Osasuna, Patxi Punal (kushoto) wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Hispania iliyofanyika juzi katika uwanja wa Reyno de Navarra ambapo Osasuna iliibuka na ushindi wa mabao 2-1. (Picha na AFP).
No comments:
Post a Comment