Picha hii ya waasi wa Libya katika eneo la Ras Lanuf wakifurumushwa na makombora ya majeshi ya Serikali iliyokuwa ikiiongozwa na Kanali Muammar Gaddafi ndiyo iliyompatia tuzo ya mshindi wa kwanza mpiga picha raia wa Russia,Bw. Yuri Kozyrev, katika tuzo za wapiga picha bora wa mwaka duniani zilizotolewa juzi nchini Marekani.(Picha na BBC).
No comments:
Post a Comment