Wasanii wa Nyamuswa Drama Group, Wandwi Masebe (kulia) na Aloyce Bwire, wakiigiza igizo la mzazi aliyeshindwa kuchangia gharama za shule kwa mtoto wake, wakati wa harambee ya kuchangisha fedha za madawati kwa ajili ya shule za Kata ya Nyamuswa, hivi karibuni. |
No comments:
Post a Comment