Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Namala Mkopi, akisoma azimio la mkutano wa madaktari, Dar es Salaam jana, wakati wa mkutano huo ulijadili taarifa ya serikali, kuhusu mgogoro ulioelezwa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Lucy Nkya kwa vyombo vya habari. Kulia ni Mjumbe wa Baraza la Madaktari Dkt. Faida Emil na Makamu wa Rais chama hicho, Dkt. Primus Saidia. |
No comments:
Post a Comment