Mwenyekiti wa Kamati ya Wazazi wa Shule ya Msingi King'ongo iliyoko Kimara, ambaye pia ni Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa huo, Bw. Demetrius Mapesi, akizungumza na walimu wa shule hiyo, wakati wa kuwapongeza kutokana na matokeo mazuri ya mtihani wa Darasa la Saba. Kulia ni Ofisa Elimu wa Kata ya Salanga, Bi. Shahiri Hamza. |
No comments:
Post a Comment