Wachezaji wa Barcelona (kutoka kushoto), Lionel Messi (jezi namba 10), Cesc Fabregas na Andre's Iniesta, wakishangilia bao lililofungwa na Fabregas katika mechi ya fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia iliyopigwa Uwanja ya Yokohama, Tokyo jana.Barcelona ilitwaa ubingwa kwa kuifunga Santos mabao 4-0. |
No comments:
Post a Comment