Mkuu wa Vodacom Foundation, Bw. Yessaya Mwakifulefule akisaidia kumtwisha Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mkunguni B, Kata ya Hananasifu Bw. Andrew Mkude, kiloba cha sukari, baada ya Vodacom kutoa msaada wa mchele, sukari, unga wa sembe, mikate na maji ya kunywa kwa waathirika wa mafuriko walioko kwenye kambi ya Hananasifu Dar es salaam juzi. |
No comments:
Post a Comment