Maofisa kutoka Manispaa ya Ilala, Bw. Uswege Abel (kulia), ambaye ni Mthamini wa Majengo na Ofisa Ardhi, Bi. Fatuma Rashid, wakisindikizwa na Polisi jana, kuhakiki nyumba za wakazi wa Jangwani Magharibi, walioathiriwa na mafuriko, yaliyotokea Dar es Salaam hivi karibuni. |
No comments:
Post a Comment