Kiungo wa timu ya soka ya Kimara Kids, Bosingwa Pankras (kulia), akiondosha hatari langoni mwake, huku mshambuliaji, Juma Mohamed wa New Boys ya Gongolamboto, akitaka kumnyang'anya katika mchezo maalumu ulioandaliwa na Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Ilala (IDFA) kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam jana. |
This paper is no longer posting current news. Mnatulisha viporo vya habari. Kulikoni?
ReplyDeleteJe, ni azimio la Majira la mwaka 2012 kwamba wasitishe uchapishaji wa gazeti lao kwenye internet? Kama hivyo watuambie tuelewe.
ReplyDelete