Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akizungumza wakati wa uzinduzi wa Baraza la Viongozi wa Dini la Kupambana na Athari za Dawa za Kulevya, Dar es Salaam jana ambapo alisema nchi ya Tanzania kwa dawa za kulevya inanuka. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Marekani la Afya, Bi. Sally Chalamila. |
Sio inanuka tu kwa madawa ya kulevya pia viongozi wake wananuka kwa rushwa pamoja na kingia mikataba mibovu.Wanapokwenda nje ya nchi hupokelewa vizuri kwa kujulikana ya kuwa kuna kichwa cha mwendawazimu kimekuja kuingia mkataba mbovu hivyo kuna ulaji wa maana.
ReplyDelete