Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa Ruvuma Bi. Aziza Luttala ,akimuapisha Diwani wa Kata ya Matimila kupitia Chama Cha Capinduzi(CCM), Bw. Menas Komba, juzi katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Songea Vijijini, baada ya diwani huyo kushinda kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika wiki iliyopita. |
No comments:
Post a Comment