Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Bw. Lazaro Nyalandu, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa kuhusu, kampuni ya kitalii ya Asante Tours ya Mjini Moshi, mkoani Kilimajaro iliyofungiwa kuingiza watalii katika hifadhi ya Taifa (TANAPA). Kushoto ni Msemaji wa Wizara hiyo, Bw. George Matiko. (Picha na Prona Mumwi)
No comments:
Post a Comment