17 September 2012

VURUGU ZA UCHAGUZI BUBUBU

Askari wenye silaha wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU), wakiwasili eneo la Bububu, Visiwani humo jana, kwa ajili ya kusaidia kuimalisha ulinzi, baada ya kuzuka vurugu wakati wa uchaguzi mdogo wa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu. (Picha na Martin Kabemba)

No comments:

Post a Comment