17 August 2012

ZAWADI


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Bw. Anthony Grant, akimkabidhi askari wa Jeshi la Polisi, Mathias Mang’ombe (kushoto) funguo za pikipiki wakati benki hiyo ilipowatunuku askari waliofanya vizuri katika majukumu yao ndani ya jeshi hilo. (Na mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment