17 August 2012

MANZESE


Wafanyabiashara ndogondogo wakiendelea na shughuli zao katika mtalo uliochimbwa Kampuni ya STRABAG inayojenda Barabara za Mradui wa Mabasi ya Haraka Dar es Salaam (DART), kama walivyokutwa jana. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment