Naibu waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bw. Amos Makala (wa pili kushoti),Mkurungenzi Mkuu wa Ofisi ya Takwimu Dkt.Albina Chuwa (wa pili kulia),Mkuu wa Chuo cha Mipango Dodoma Bw. Constantine Lifurilo (kushoto) na Mkurungenzi wa Takwimu na Uchumi Moris Uyuke (kulia) wakifuatilia zoezi la ufunguaji wa semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia Agosti 26,mwaka huu nchini kote.Maafunzo hayo yalifunguliwa juzi katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Chuo cha Mipango Dodoma.Picha na MAELEZO.
No comments:
Post a Comment