Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Kamishna Msaidizi, Deusdedith Nsemeki, akizungumza na askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa mkoa huo (hawako pichani), alipokutana nao wilayani Mbinga jana. Kushoto ni Mkuu wa wilaya hiyo, Bi. Senyi Ngaga. (Picha na Kassian Nyandindi)
No comments:
Post a Comment