25 November 2011

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji (EPZ), Dkt. Adelhelm Meru (kulia), akisalimiana na Profesa Dorothy McCormick wa Chuo Kikuu cha Nairobi, wakati wa warsha ya wasomi, viongozi wa serikali na watu wenye uzoefu katika uzalishaji wa nguo iliyofanyika Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Bisahara, Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Andrew Mwambo.

No comments:

Post a Comment