Meneja wa Shule ya Sekondari ya St. Mary Goretti, Mtawa Fina Mushi na Mkuu wa shule hiyo, Mtawa Lucretia Njau wakikabidhi zawadi ya kikombe kwa Waziri Mkuu Mstaafu,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Bw. Cleopa Msuya ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 10 ya kidato cha nne yaliyofanyika juzi katika shule hiyo, iliyopo Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. TBL ilichangia sh. mil. 10 katika harambee ya kununulia vifaa vya maabara na gari la shule. |
No comments:
Post a Comment