Bi.Mariam Karumba,mwanafunzi wa mwaka watatu katika chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUTI) akiwa ndani ya pikipiki aina ya bajaji ambayo ameshinda kupitia promosheni ya saba ya vumbua Hazina chini ya kizibo,inayoendeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL). (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment