Mkuu wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara Bi.Christine Mndemw akiwasha moja ya trekta kati ya tisa zilizotolewa kwa mkopo kutoka Benki ya uwekezaji nchini (TID) kwa ajili ya wanachama tasa wa Saccos ya TAKAUMA iliyopo katoka kata ya Bassotu wilayani hapa.Wengine ni baadhi ya wananchi na viongozi ambao walifika kushuhudia makabidhiano hayo juzi.(Picha na Mary Margwe)
BAADHI WAMEAMUA KWENDA MAHAKAMANI BAADA YA KUSHINDWA KULIPA WAKIDAI WAKIDAI WAMEPEWA TARKTA MBOVU
ReplyDeleteWAMEDAI KUPEWA MATREKTA MABOVU KUNA MTENDAJI MOJA WA KATA YA GETANUWAS ANAJIFANYA WAKILI BUSH NA KUFANYA VIKAO VYA USIKU KUWADANGANYA WAKOPAJI WASILIPE NA KIPINDI CHOTE HAYUPO TUNAOMBA AACHE HIYO TABIA
ReplyDeleteNadhani hajui kama walio toa wana akili kupita za kwao
ReplyDeletehivyo utapeli ni upunbavu.
natamani trecta hizi wangetuletea huku ktk tarafa ya balang dalalu.
je ni kwanini wakulima hawa hawataki kulipa trekta walizokopa hadi leo
ReplyDeleteWakulima hao wamekaidi kulipa madeni Yao yamekuwa madeni sugu aliye karibu na Churi wamshauri kulipa
ReplyDelete