27 June 2012

TAMASHA

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Shetta pamoja na madansa wake wakiwaburudisha wakazi wa Morogoro wakati wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika mjini humo,Tamasha hilo  linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea  katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.

No comments:

Post a Comment