Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakilisukuma gari la wagonjwa namba T 151 AVD, baada ya kuwasili hospitalini hapo, likiwa limembeba, Dkt. Steven Ulimboka (picha ndogo), akiwa amejeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana na kutupwa kwenye pori la Mabwe Pande, Dar es Salaam jana. (Picha na Prona Mumwi)
Duh!Pole bro. yaani hujafa hujaumbika. Tafadhali fanyeni hima kuokoa maisha yake kwa kumpeleka hospitali ya Mumbai India. Tupo pamoja nawe Dr.Uli.
ReplyDeleteBora wangekuua kabisa,hiyo ni laana ya Mungu mnayoipata,mnaacha watu wafe kwa tamaa ya mishahara na marupurupu manono,na huyo naye msimtibu si mko kwenye mgomo? Mungu anawaonyesha machungu wanayopata wengine. Bora ufe wangekuua kabisa
ReplyDeleteNimesikitishwa sana, hapa kunamkono watu watu wenye nguvu walio juu, kweli watakubali kama wameusika? hilo tatizo, Get Well soon Dr.
ReplyDeleteWAGONJWA NA WALE WANAOHUDUMIA WAGONJWA WAHAKIKISHE DOKTA ULIMBOKA HATIBIWI KABISA MAUMIVU YA JINO NA KUCHA YATAMKUMBUSHA KUWA ISRAEL NI KATILI ANAPOTOA ROHO ZA WATU HAIINGII AKILINI DOKTA ANAKUNYWA POMBE BAR WATANZANIA WANAKUFA HALAFU KUNA WANASIASA UCHWARA WAO WANAWATETEA HALAFU WANAMTAJA MUNGU KWA LIPI??? TENA WAACHE MARA MOJA SASA NAAMINI KUWA WENGI NI FREEMASON HAKUNA MUNGU HAPA USHETANI MTUPU
ReplyDeleteMTAIPATA WOTE MNAOMUOMBEA DUA MBAYA ULIMBOKA
DeleteHUWEZI KUTOA COMMENT YA NAMNA HIYO HOW SURE ARE YOU? AU NA WEWE UMETUMWA NI NINI YAWEZEKANA NA WEWE NI MIONGONI MWA HAO WAKATILI
ReplyDelete