24 May 2012

NMB MSAADA


Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mbezi Juu, Bw. Pius Saye, akipeana mkono na Mkuu wa Mahusiano ya Jamii wa Benki ya NMB, Bi. Shy-Rose Bhanji, (wa pili kushoto), baada ya benki hiyo kutoa msaada wa madawati 50 yenye thamani ya  Sh. Mil 5 kwa shule hiyo, Dar es Salaam jana, wengine kutoka kulia ni Meneja wa Tawi la Mlimani City, Bw. George Mwita na Mbunge wa Kawe, Bi. Halima Mdee. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment