03 February 2012







Miongoni mwa kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja jana, kama alivyonaswa na kamera yetu katika Kijiji cha Baweni Kata ya Ngerengere Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro akiingia katika nyumba yake. Hata hivyo baadhi ya wakazi wa kijiji hicho walisema kutokana na hali ngumu ya maisha imefikia hatua hadi kushindwa kujenga nyumba za kisasa. (Picha na Sangalwise Abia)


1 comment:

  1. Hawa watu ni wavivu wa kuzaliwa. Tatizo si hali numu ya maisha. Watu hawa wamekuwa na nyumba kama hizi tangu enzi za mkoloni. Morogoro wamezidi kwa kuwa na nyumba za aina hii. Ni aibu kubwa sana kwa taifa. Wapandishe Mbeya na Iriga wakaone wenzao wanavyojitahidi.

    ReplyDelete