Mwanafunzi wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari Wasichana Korogwe, mkoani Tanga, Renata Renatus na mpigapicha wa kujitegemea, Bw. Elias Ngole anayehudumiwa (mbele), wakipata matibabu kwenye Hospitali ya Mabunga baada ya kujeruhiwa na gari namba T 489 AGJ Toyota, lililowagonga baada ya mtoto wa mmiliki wa gari hilo, Kibibi Mmasa, kujaribu kuliendesha, wakati wakiwa katika mahafali ya kidato cha sita shuleni hapo jana. (Picha na Mashaka Mhando)Pg
GARI:
Gari lililohusika na ajali
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe akiwa ameshikilia mtoto Kibibi Mmasa aliyegonga na kujeruhi
KILIO:
Mpigapicha wa kujetegemea Elias Ngole akiingia ndani ya bajaj kupelekwa hospitali
poleni msana mliofikwa na ajari.mungu atawanusuru
ReplyDeletepoleni sana mliofikwa na ajari. OMAR SEBBO wa Moshi Tanzania
DeletePoleni sana mliopatwa na ajali.
DeleteWazazi tujitahidi kuangalia hawa watoto wetu ambao wamefikia kwenye umri wa usumbufu( storm age); lakini bila kuwachokoza.
UJINGA MWINGI BONGO SASA KWENYE MAHAFARI ANAENDESHA ANAENDA WAPI!KAMA SI ULIMBEKENI UNASUMBUA .TATIZO KUENDESHA NCHI KWA MAZOEA BILA SHERIA.NA NILIPONA MAANA KUNA MLEVI ALIGONGA GARI LANGU MBAYA HAKUNA HATA MSAADA WA POLICE NI RUSHWA.KA NCHI KADOGO RUSHWA KUBWA KULIKO NCHI.ZAMBIA WAMENDELEA NA SHREIA ZA UENDESHAJI SIO TANZANIA KILA KITU POLITICS.AIBU SANA HATA MUNGU HAKUSAIDII KAMA HUJISAIDII.
ReplyDeleteUnapotoa maoni jaribu kuwa na ufikirio kidogo. Kwa mtazamo wa moja kwa moja inaonekana hata elimu yako ni ndogo sana. Usiongee ujinga mbele ya jamii. Hebu angalia hata jinsi Mkuu wa wilaya alivyomshika huyo msichana, yeye ana upeo mkubwa kuliko wewe usieenda shule. Haya ni mambo ya ujana, sasa maatusi ya nini?. Walaumu wazazi wako ambao hawakukupeleka shule.
ReplyDeletejust shut f.....up!you think you gotta education ha!ha! living in dark ,show what you get.you such coward and big looser .i am not educated but i know, possibly better more you looser!ok mr sociaology degree you gotta it all.just go around the world and see how much people respect trafick rules.not only because your parents own car you wanna show up in street dam, who care any away .nothong to please in such dam issue.like here she could be in jail with her parents and waiting to be sued too.
Deletemmmmmmmmmmmmmmmmmh! what you say msomi?.what is your inovation on this earth ha!ha! look like you have mashroom degree!That is my opinion if you have yours is okay but you won't interfear people opinion such way fool.A country should have strictly law against minor driving,unlicensed driver,driving with influence of alochol or drugs,trafick rugalation and law should be respected.there is no sorry for what she did without being punished and sued accordingly.although i wish sorry for victims cs i feel their pain.i just can't immagine how dark your mind is .bad enough you talking about my parents "mie mtoto wa mkulima kweli asente wewe mtoto wa waziri kwa kutunyanyasa watoto wa wakulima" I am proud our voice have heard by almight hatupo hapo unavyofikilia.You real Ignored me men."I love my parents are mine even if wakulima"I am puting my name i need your name too."yoab mhavile"God bless you msomi.
DeleteNow back to the point.
ReplyDeleteHapa Australia hilo tukio lina fine mbaya nadhani kwa wote wawili ka milioni ka Tanzania kangewatoka! Na kanachukuliwa moja kwa moja kwenye account zako!
Kesi ya uzembe ingefuata na ingekaa kwenye records huenda hata kazini wangekutimua kwani uzembe kama huu hauvumiliwi, huyo mtoto alizipataje funguo?
wambie hao hawajui dunia ilivyo hakuna kubahatisha unafanya ujinga unawajibishwa.ila mtoto wa mkuu wa wilaya bongo kama malikia vile akipita lazima apigiwe makofi.
DeleteThanks and I have a dandy provide: How Much Remodel House house renovation tools
ReplyDelete