15 February 2012

Dkt. Bilal
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal (kushoto), akimsikiliza Meneja wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula, Kituo cha Songea, mkoani Ruvuma, Bw. Morgan Mwaipyana, baada ya Makamu wa Rais kutembelea kituo hicho chenye uwezo wa kuhifadhi tani 26 za mahindi. (Picha na Muhidin Amri)

1 comment:

  1. Tani 26 ni nusu trailer. Kwa nini Dr. Bilal apotezee muda wake hivyo?

    ReplyDelete