Meneja Uhusiano wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Noves Moses (kulia) akikabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 2 kwa Mkuu wa shule ya msingi Temeke Said Mbolembole (kushoto). Fedha hizo ni kwa ajili ya kusaidia kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili shule hiyo. Katikati ni mwenyekiti wa kamati ya shule Rajab Ndunda na Meneja wa kitengo cha mikopo benki ya Posta Abdallah Mtandika |
No comments:
Post a Comment