Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiangalia ukuta unaozuia maji ya Bahari kuingia kwenye makazi ya watu ulivyobomoka kutokana na mawimbi makali katika Mji wa Pangani Kivukoni, wakati wa ziara yake mkoani Tanga jana, ukuta huo ulijengwa miaka 100 iliyopita, kubomoka kwa ukuta huo kunatishia usalama wa wakazi wa eneo hilo. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)
No comments:
Post a Comment