20 January 2012

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. Batlda Burian, wakati Balozi huyo alipofika Ikulu Dar es Salaam jana kumuaga rasmi, baada ya kuteuliwa na Rais hivi karibubni.

5 comments:

  1. umechemka kwenye picture nyie majira hamna editor au ndio kazi mnapeana kiundugu au shule hakuna editor wa majira plus mtu wa IT hovyo kabisa

    ReplyDelete
  2. Mbona mnaweka habari tofauti kabisa na picha, vipi? Inakuwaje hii.

    ReplyDelete