Kiungo wa Moro United, Meshack Abel, akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Yanga, Hamisi Kiiza, asimfikie golikipa wa timu yake, Jackson Chove, (mwenye mpira), wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Timu hizo zilifungana mabao 2-2. |
No comments:
Post a Comment