Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Bw. Haruna Masebu, alipotembelea banda la Mamlaka hiyo, Wizara ya Maji wakati wa maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam juzi. |
No comments:
Post a Comment