Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt Lucy Nkya (kulia), akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Dawa na Vipodozi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA), Bw, Mitangu Fimbo, wakati akimuonesha dawa ya kuongeza ukubwa wa makario iitwayo Hip Lift Up 'Wao' iliyopigwa marufuku, alipotembelea mamlaka hiyo, Dar es Salaam jana. |
Waache akina mama wanenepeshe makalio yao. Huu ni unafiki mkubwa wa serikali. Mbona Babu wa Loliondo anaruhusiwa kuendelea kudanganya watu kuwa "dawa" yake (kikombe) inaponya magonjwa ya kansa, kifua kikuuu, Ukimwi, kisukari!
ReplyDeleteKama sayansi ya tiba ingekuwa rahisi kama kikombe cha babu, tusingekuwa na magonjwa dunia hii!
Serikali (Wizara ya Afya) acheni unafiki. Huyu babu anaua watu na nyie mnashangilia! afu mnajitia kuwa mnajali afya za watu kwa kuzuia watu kuongeza wowowo! mxiii!