Wakazi wa Kata ya Bareko, wilaya ya Kondoa, mkoani Dodoma wakiwaonsha waandishi wa habari (hawapo pichani), majengo ya Shule ya Msingi ya Kurasini, ambayo pamoja na kuwa na Walimu watatu, mgawo wa chakula 'hewa', haina wanafunzi kwa zaidi ya miaka 10. |
No comments:
Post a Comment