Naibu Mkurugenzi wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Jacqueline Maleko, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu kongamano la mwanamke wa kitofauti, litakalofanyika Dar es Salaam, Desemba 17, mwaka huu. Kushoto ni Mkurugenzi wa Benki ya wanawake Tanzania Bi Margaret Chacha. |
nyinyi hamna maana kabisa, ilo kongamano ni kwa ajili ya wanawake wenye kipato cha juu, mwanamke wa kipato cha chini ataweza kiingilio cha laki moja? ovyoo kabisa, pumbaffff
ReplyDelete